Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie si mshabiki wala mfuasi wake lakini wakati mwingi hunifurahisha sana kwa nondo zake ambazo hupiga pale pale bila kukwepesha. Sikufichi Mkuu huwa namsikiliza sana huyu kule Utube 🙂🙂🙂 cocochanel na Kichwa Kichafu mnaitwa huku.

Umenichekesha sana pokea like

Gwajima msaka tonge tu kwani la Kaisari badala ya kumwachia anampa Mungu!
 
Back
Top Bottom