Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
PokeaAmepunguza macoat na suruali zake zote nae anataka kuwa kijana tatizo kipara tu
PokeaAmepunguza macoat na suruali zake zote nae anataka kuwa kijana tatizo kipara tu
Nipo mkuu
Swafi karibu na ukwaju wa likeHellooow, mamboz waungwana
Ukwaju wa like unakuhusuNipo mkuu
Niaje mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona una hamu ya ku quotuliwa eeeWe Mzee ww [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli?Pembe la ng'ombe likivunjika haioti tena.
Njema sanaPoa sana nsamaka mwanamke wa nguvu.
Habari yako.
Ama!Penye wimbi na mlango u papo.
Nakuona tu ,ujue nimerudi. Ule uhuru wa kujitawala sasa kwishney.Niaje mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona una hamu ya ku quotuliwa eee
Ndio majukumu ya kila siku yanafanya mkono kwenda kinywani.Nawamis sana jamani, majukum haya dah
Hooo kumbe ndio tatizo my princessLikes zako napata notifications tafadhali usini quote
Habari za huku ni poa kbs.Ndio majukumu ya kila siku yanafanya mkono kwenda kinywani.
Pole lakini habari lakini?
Sema mzee wa manyokanyokaMuite mzee wa masamaki
Hahahaaaaaaa....mzee wa ikwiriri Mungu akubariki kwenye biashara yakoMkuu huku bwanaaa miee naendeleaaaa ....na biashara yangu ya kuuzaaa kahawa kwenye bilika,
Ina faida nzuri endapo unakuwa na maneno mengi, unazungumza vitu vingi,
Uwe unajua vitu hata ambavyo huvijui!
Mbona biashara utafanya sana.
Karibu Ikwiriri sheikh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwema mkuu.. Niaje hapo jamvini?Kiongozi mkuu habari yako
NaniYamemkuta