Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niwe kwenye timu yako[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!? Hapana siwezi,wewe hata amri ya nani sijiungi kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshindikana kabisaaaa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wachache tulimuelewa ukhuty,hadi alivyo tokea kisu cha ngariba ndipo lugha yake ikabadilika.Watu wanaogopa kuanzisha urafiki humu,yapo mengi ya kujadili mbona!! Kuna kundi hapa lenyewe ni kujadili mambo yetu yaleee(achaneni nalo,maana nalo ni burudani tosha),kuna mambo ya vipeperushi na mipicha picha(ahsante Numbisa,ISIS,Shimba,mshana Jr,Rais2020,na wengine),kuna misemo na nahau (cocochanel),kuna kufuatilia data(mzee wa liver,shimba),kuna waharibifu (ho chi Minh na kichwa kichafu),kuna wafukunyuku (carba na timu yake), na wengine weengi sana...Kweli tuna shindwa kurafikiana jamani!!!? Ku quote sana ni dalili za upweke.Tuwe huru japo hatufahamiani,tupo hapa kwa kusudio la kujijenga kiafya.Samahani kama nitakuwa mimi ni mmoja wa kikwazo ndugu zangu.Ahsante Numbisa kwa kuwa muwazi muda wote
Hahahaha kila mmoja umemuweka kwenye mabano ila mbona wewe hujajiweka kwenye kundi lolote? Wala hujawahi mkwaza mtu humu zaidi ya mtani wako uniq.
Kusema ule ukweli nilipoingia JF sikuwah mfaham mtu yoyote humu wala kuogopa kuchangia popote kisa upweke. Kila mjadala nilijiweka huru ili mradi nami ni member wa JF.
 
67cc7384e62a7f8f0424088c96ba4dd8.jpg

Ukini quote naku quotua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh angalia huyu jamaa ananitishia amani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naendelea




[emoji617]Hauwezi kujenga nidhamu ya mafanikio katika maisha yako kabla haujajenga nidhamu ya kujikana katika mambo ya makundi yasiyokuwa na umuhimu.


[emoji617]Wengi huwa tunasema tunakula ujana ila swali ni ujana gani ambao tunauzungumzia? Kula ujana kwa manufaa ya ujana ulivyoufanyia kazi na usile ujana kwa kuhofu kesho hautakuwepo.Hii hofu ni dalili mojawapo ya mtu kutokufanikiwa katika maisha yake kwasababu hakuna malengo ambayo unaweza kujiwekea.

*Kesho Umeijuaje wewe na useme maisha mafupi ikiwa unamatumizi mabovu katika kila hela unayopata??*. Unasema maisha mafupi na Mungu anakupa miaka 100 au zaidi ya kuishi utasemaje na kauli yako ya kula ujana na hukujiwekea malengo yoyote.


[emoji617]Wengi tunamalengo mengi ndomaana kufika tunapotaka inakuwa ni shida, najua utakuwa umeshangaa, twende pamoja, unatakiwa kuwa na LENGO lenye malengo madogo madogo ndani yake. Lengo lenye malengo ni kisababishi cha wewe kupata kitu unachokitaka katika maisha yako na sio unakuwa na Malengo mengi ambayo hayako katika utaratibu leo unafanya hivi kesho hichi ni ngumu kufanikiwa katika hayo malengo yote.
*Kipaumbele chako ni kipi?*.




Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Like hiyoo
 
Back
Top Bottom