Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HeheheheHahahaha
HeheheheHahahaha
16:033:33
AMUN RA
LikeHunter hilo swali ni la msingi sana katika maisha.
Big up sana hunter.
Kichwa Kichafu u are the best and great leader,keep moving dearestCleverKING genius
Ubarikiwe[emoji122][emoji122][emoji122]*Yafahamu mambo manne yatakayokupa motisha na kukuamsha kufikia mafanikio unayoyataka siku ya Leo.*
==> Ulizaliwa kwa kusudi maalumu. Mungu amekuumba ili uje kutimiza kusudi Fulani. Haijalishi ulizaliwa katika mazingira gani. Mungu aumbi mitumba, Mungu aumbi vitu vya ovyo ovyo. Wewe ni tunda zuri LA uumbaji wa Mungu.
==> Umezaliwa mshindi kwani wakati unatungwa mimba, ulishindana na watu zaidi ya milioni thelathini (30), lakini ulipatikana na ukazaliwa wewe. Wewe ni mshindi.
==> Kila mtu anakitu cha tofauti ndani yake. Hakuna anayeweza kuandika kitabu kizuri kama wewe. Hakuna anayeweza kuimba vizuri kama wewe. Hakuna anayeweza kuhamasisha vizuri kama wewe. Hakuna anayeweza kupiga vizuri ala za muziki kama wewe. Hakuna anayeweza kucheza mpira vizuri uwajani kama wewe. Hakuna anayeweza kuhubiri vizuri kama wewe. Hakuna anayeweza kuanzisha kampuni yenye brand nzuri na kubwa kama wewe. Anza sawa kufanya maajabu. Wewe ni wa pekee. Wewe ni special.
==> Usisubiri watu wengine waje kukwambia unaweza, anza wewe kujiambia kwamba unaweza. Isikilize ile sauti iliyo ndani mwako inayokwambia kwamba unaweza. Ukisubiri watu wengine waje kukwambia kwamba unaweza utachelewa sana. Mafanikio daima uanza na wewe. Mafanikio yapo mikononi mwako.
See you at the top
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Kamq dosePokea like
Dah! We achia tu! [emoji23] [emoji23]Duh! We acha tu!
Likes zako napata notifications tafadhali usini quoteLiked
Well articulated pokea likeBusara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
We una siku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hako ka ugonjwa kanakera kweli...
Hajambo ni mzima,nashukuru siku yangu ni njema kabisa
#1 Joseverest katika ubora wako #1 #1 #1 nakurudisha kwenye namba yako 1[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwa nini watu wanasoma? Kwa nini watu wanaenda shule?
Tafsiri Rahisi ya kwenda shule ni kwenda kutafuta Maarifa Na Taarifa ambazo hatuna. Kifupi ni kwenda kujifunza. Swali la kujiuliza kama una maarifa Na Taarifa sahihi kuhusu nini ufanye Na ufanye kwa kiwango gani kuna haja ya kwenda shule? Na ni nini faida ya kupata hayo maarifa Na Taarifa ambazo hazikusaidii kutimiza ndoto zako?
Huu ni muda Wa kujitafakari kila mmoja Na nafsi yake Na kujua una nini kichwani mwako Na mkononi mwako kinachoweza kuwa sababu ya kutimiza ndoto yako? Usiumize kichwa chako kuwaza una nini kwa ajili ya kutimiza ndoto zako.
Tafuta vitu vitatu tu vitakusaidia kutimiza ndoto zako
. 1. Tafuta maarifa
2.Tafuta Taarifa Na
3. Tafuta watu sahihi wenye mawazo chanya Na malengo ktk maisha. Tengeneza marafiki watakao kuwa daraja la wewe kuvukia Na kwenda utakako kirahisi. Network ndio njia pekee ya kupata watu sahihi Wa kushirikiana nao ktk kutimiza malengo yako. Kingine cha ziada baada ya kupata hivi vitu vitatu Mshirikishe Mungu ndoto yako Na malengo yako, kuwa Na uthubutu Na jiamini kuwa unaweza nakuhakikishia malengo yako Na ndoto yako itatimia.
~Maisha ya mafanikio ni maamuzi ktk kuwaza Na kutenda na sio kuwaza Na kusema pekee. See u at the top
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
LikedID ya mtu humu
Muite mzee wa masamakiTulia ukwotiwe Mzee wa Masaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liked the effort not the contentPOSITIVE MIND VIBE QUOTES
[emoji617]Dharau haziwezi kuwa na faida kwa mwenye dharau bali kwa anayedharauliwa. Anayedharauliwa hawezi kupata faida ya kudharauliwa akimdharau anayemdharau, mana wote watakuwa na dharau. Uzuri wa kudharauliwa ni kwamba humfanya Mungu kukuinua zaidi ya anayekudharau mana asipofanya hivyo ni Mungu ndiye atakuwa anadharauliwa sio tu yule anayedharauliwa mana Mungu wetu ni mshindi na ametuumba kwa mfano wake. Haloo, naomba ukumbuke Mungu ni mchapa kazi kwa Maarifa na hekima kwahiyo acha watu wakudharau kwa kitu ambacho unakifanya kwa maarifa na hekima, wewe PIGA KAZI,hesabu dharau kama BARAKA kwako.
[emoji617]Sisi wote ni binadamu na tunapitia vipindi tofauti katika maisha kama shida na matatizo mbalimbali ni kawaida kutokea lakini hivi vyote kuvipa muda kuviwaza kwa jinsi vilivyo hasi ni kuvikuza na kuvitengenezea makazi ndani yetu. Vikija tukubali kuja lakini tusikubali viishi ndani yetu hata siku moja. Mambo yote ambayo yanafanya Moyo wako kuteseka ni USAFIRI WA SHETANI kuja kukuangamiza. Chukua usafiri mwingine wa Kuvitawala hivi kwa UPENDO na KUVISEMESHA kwamba ni sawa kuja lakini havina makazi ndani yako.
[emoji617]Ukiwa na uongo ambao unadhani utakuwa ni kweli utaficha hata kweli uliyokuwa nayo sasahivi. Kuna jambo unafanya lifanye kwa ukweli na sio lionekane la ukweli wakati unadanganya, hii inaweza kukufanya hata kupoteza yale machache ya ukweli uliyokuwa nayo.
[emoji617]Kuna kuamka asubuhi na kujuta unapotoka mana hata inawezekana usiku ulikuwa unajisemesha bora kukuche, lakini nikwambie kitu ewe Mkristo na Muislamu mwenzangu ABRAHAMU katika Biblia alikuwa na imani kwamba Kunasiku atakuwa na familia yake na uzao wake lakini kabla ya kumpata Isaka Mungu alimwambia Uzao wake utakuwa kama mchanga wa Bahari, alimwambia Uzao wake Utakuwa kama nyota angani. Wewe leo hii unalala njaa au unalala sehemu ambayo hairidhishi lakini nawe kunasiku utakuwa zaidi ya matamanio ulikuwa nayo, kuna siku utakuwa na shibe zaidi ya njaa ambayo unayo leo, utakuwa na utajiri zaidi ya bajeti kali ambayo unayo kwa siku au mwezi au mwaka, Kumbuka Ayubu alivojaribiwa na shetani alipotezewa kila kitu lakini baada ya kushinda majaribu Alipata Mara mbili zaidi ya vya kwanza alivyokuwa navyo (Ayubu alionesha nidhamu,utii na Imani kubwa sana). Wewe kwani ni nani ambaye Mungu anakupa pumzi ya kuona changamoto za maisha na asikupe nguvu ya kuzishinda, wote tusimame na tuwe washindi. INAWEZEKANA.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Ukiona hivyo kuna tatizo. Ungekuwa unamtunza inavyopaswa (hasa emotionally & psychologically) asingeweza kurudi kazini wakati wa likizo. Pengine ndiyo sababu huwa anakuacha mara kwa mara. Badilika shemeji!Anaendelea vizuri,tatizo dadaako anaipenda ajira kuliko mimi.Likizo ya ugonjwa aliyo pewa ilikuwa bado siku nne ziishe, ameamua kwenda kuzimalizia kazini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dhibitisha kwa mzee wa masamakiZimeondoka Asante
Unasema mimi ni mfukunyuku[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kuna nini shem tena huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...must be a true friend...Walking with a friend in the dark is better than walking alone in the light.