Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu huku bwanaaa miee naendeleaaaa ....na biashara yangu ya kuuzaaa kahawa kwenye bilika,
Ina faida nzuri endapo unakuwa na maneno mengi, unazungumza vitu vingi,
Uwe unajua vitu hata ambavyo huvijui!
Mbona biashara utafanya sana.
Karibu Ikwiriri sheikh.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nikivuna matikiti nitakaribia sheikh huko ikwiriri.
Nitakuletea na matikiti maana nikikukaribisha sasa hivi huku kibiti utauz shamba langu na matikiti yakiwa shamba kama kipindi kile ulivyojifanya dalali ukauza mashamba ya watu kijijini hapa.
 
d1efc3e72b952fd2fb7553ffaf7d856e.jpg
Acha achape kazi
 
Back
Top Bottom