Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Wee life achana nalo,kwanini utumie effort kuubwa kulitafuta wakati like zinapatikana bure (kama sijakuelewa nisamehe)

Sent using Jamii Forums mobile app
Life ni mali ambazo kuzitafuta ni kununua shubiri

Mbaya zaidi life ikikubali walaji nao huongezeka so why bother
 
Mkuu Rutashubambele nakuomba please usinikwazie mpenzi wangu please tena please maana akinuna huku nyumbani hakuna kinacho enda naomba usimquote carbamazepine wangu ooooh
Hataki stress lakini anataka kunipangia mimi. Masharti ya kutonukuu siyo ya JF mwambie she is looking for stress

Mimi situkani mtu lakini stop telling me what to do. It is disrespectful
 
Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.

Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.

Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.

Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa

"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
Hahahaha
 
Back
Top Bottom