Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aha
Aha
Good evening my dearGreetings my dearest
Majogoo mmeanza kuleta mbwembwe huku huwa mnapoteana sanaWith Sadio Mane Firmino couthino Mambo yataenda tu
HahahahahahaNimepanda taxi leo,dereva taxi akaanza kuongea..."Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nini cha kufanya"
Nikamwambia "KATA KUSHOTO"
Mbavu zangu hahahahaBoss Boss
Mbavu zangu hahahahaBoss Boss
HahahahahahaNimepanda taxi leo,dereva taxi akaanza kuongea..."Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nini cha kufanya"
Nikamwambia "KATA KUSHOTO"
Pokea mkwanjaNa kuwapa likes
Nitakavyo!
Duh!
Hahahaa ndugu yangu kwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa kichafu dishi lako ndugu yangu mara nying linaingiaga maji
KabisaUzi wetu pendwa walahi
Tumefika hatua hiyooo ujue giza linaikimbia nuruNi rahisi. Kama unatumia app bofya jina la mtu unayetaka kum-ignore halafu upande wa kulia utaona vidot vitatu. Bofya hapo na option ya ku-ignore itakuja.
Aha!Mimi simwoni so anaweza kufanya anavyotaka tu!
Stress free na sitaki stress!
Natoka kwenye ma deal yangu huko, najikalia na kuona watu ninao wapenda kwenye uzi huu pendwa!
Imenifurahisha sanaHahahahahaha
Mkuu hawa watu ni watofauti humu nahisi wamependa tu hawapendi kupost sanaHebu niambie Mkuu hiyo inawezakana vipi?
NSAMAKA
BABE S
WENGINE MTAWAONGEZA
SPREAD LOVE
LIVE LIFE LIKE IT
BE HAPPY
DO GOOD
BE GOOD
COLE WILLIAMS
Hahahahaha Cole WilliamsSijasoma nina post kama 200 mbele za ku like sijakula msosi wa jioni sijaangalia game of thrones na power season 4 sijaongea na mpenzi wangu carbamazepine, kwa kweli nitaisoma kesho Sawa