Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We carbamazepine wwLikes zako napata notifications tafadhali usini quote
We carbamazepine wwLikes zako napata notifications tafadhali usini quote
Mzee wa quotationSinema ni jumba la kuonyeshea filamu
With Sadio Mane Firmino couthino Mambo yataenda tumzee wa liver kwa usajiri wa salah??
Sijaona likes zako kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata ukiweka nukta utakwotiwa tu!
Kweli msimu huu EPL yetu
LikedNeno hili nililisubiri sasa karne imepita.
Bibie ngoja nije si hali hii iliyofika baada ya kusikia haya maneno[emoji7] [emoji8]
Sijaona likes zako kwangu
HahahahaKICHWA KICHAFU
Hahahaa! Haya maneno tumeyazowea wazee wa kujifariji.Kweli msimu huu EPL yetu
Kuliamsha dudeHahahahaaaaaa,una maanisha bwana yule?
Pokea likeapunguze kwa kweli
Mugabeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaaaLoooooooooh! kali ya wiki, Mke alikufa, akakutana na mumewe mbinguni, akamwambia; 'Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu,
Mume akajibu: " Weee! Weee! Ishia hapohapo, tuliapa KIFO ndicho kitakacho tutenganisha, huku mbinguni nipo single, kuna Malaika namfukuzia usije ukaniharibia bure"
Na kwako pia The Chosen oneHeshima kwenu wakuu
Ziwe ngapi per day? Tatizo ni simu bomu au quotes?apunguze kwa kweli
Boss BossKICHWA KICHAFU