Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hata uki-ignore bado mtu anaweza ku-quote post zako na kukurundikia ma-notifications yasiyo na maana. Kuna njia ya kumfanya mtu asi-quote post zako kabisa kabisa?
Mimi simwoni so anaweza kufanya anavyotaka tu!
Stress free na sitaki stress!
Natoka kwenye ma deal yangu huko, najikalia na kuona watu ninao wapenda kwenye uzi huu pendwa!
 
67cc7384e62a7f8f0424088c96ba4dd8.jpg

Ukini quote naku quotua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata ukiweka nukta utakwotiwa tu!
 
Back
Top Bottom