Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nimebidi nim ignored mtu!
Huu uzi ni wa upendo sio mambo ya kujifanya unajua kuliko wengine!
Duh! Imebidi nimpe stop mapema!
Lakini hata uki-ignore bado mtu anaweza ku-quote post zako na kukurundikia ma-notifications yasiyo na maana. Kuna njia ya kumfanya mtu asi-quote post zako kabisa kabisa?
 
Back
Top Bottom