Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] Parapanda italia parapandaa...parapanda italia parapandaaa[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442] (hata sijui kama ni mahali lake sahihi...). Sisi wote ni wa Mungu aliye hai ndio maana tunaeneza upendo.Mkuu BAK,hivi hii "like" kwa kiswahili inaitwaje?
Mpenda=like
 
20181369_331031590685231_3101729530386055168_n.jpg
 
Aisee hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi Mimi nagonga likes kila post nachukua hata masaa mawili kugonga likes nyuma sasa wewe unalalamika sitoi likes
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Likes given umeangalia ngapi nimetoa acha hizo
Kula likes kwanza
Acha kutoa povu farijika na hii like
 
Back
Top Bottom