Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Manutd hoyeeeeee
BF banaaaa we Kiswahili O'level ulipata ngapi? Mbona swali la mchuchu lilikuwa linaulizwa kila mwaka? 🙂🙂
Weka kideo tukuone ujuzi wako wa kuruka debe.
Eeeeh BAK
Humu mbona wanajua status yangu... walionisoma enzi za burudani haswa eeeeeh... Humu kuandika chochote tunaandika mengi ukipitwa oyaaaaaaa