Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Akichoka zamu yako atakupishaMpishe mwenye nguvu apite
Even the sky not your limit because you overcome fearWhen you got
Nothing to lose
You are fearlessWhen you got
Nothing to lose
Yuko anayetapanya lakini zinaongezeka na yuko anayezibana lakini zinayoyomaMbinu za utajiri ni ubahili
Pata like kwanza maana toka muda nakuonaa unakomaaYuko anayetapanya lakini zinaongezeka na yuko anayezibana lakini zinayoyoma
Mnyonge usimnyonge kwa kumpa haki yakeMnyonge hupata haki na mwenye nguvu kutaka.
Noma sanaKuna haja ya kila mwanandoa kumiliki bastola
Mnyonge ana Mtetezi na mdhulumaji kukiona cha motoMnyonge kupata haki ni mwenye nguvu kupenda.
Chura mlo wa mwewe na panya mlo wa bundiMlio wa chura utamdhurisha nani?
Kama ni MuumbaMkuu yu juu.
Kama hafi au hajisaidiiMkubwa kakupita.
Kama unatenda hakiMkono wa serikali ni mrefu.
Kweli?duh hapo patamu
KaliMkoba haungeharibika hungetembea na furushi mkononi.