Rutashubanyuma samahani sana ila naomba nikwambie kitu,simaanishi niko sahihi sana au wewe uko sahihi sana ila tabia yako ya ku quote na kuandika liked au muda uliotoa likes unanikwaza na si mimi peke yangu ni wengi humu..hili ni jukwaa na kila mtu anapost anachoona kinampendeza lakini hatuna malengo ya kukwaza ama kukwazwa...watu wamelalamika lakini unajifanya husikii wala huoni hii ni dharau jaribu kuwa mstaarabu watu wanakwazika wengine wanashindwa kusema...lengo la uzi ni kutoa likes na kupata likes na si ku quote,kama una mquote mtu usimkwaze wengi tuna quote watu humu kwa lengo la kupiga stori ila unachokifanya wewe ni kutukwaza...tafadhali naomba usi quote post zangu japo bundle ni lako na huchaguliwi cha kupost...