ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Kweli kabisaKila mmoja ni mfalme nyumbani mwake.
Kweli kabisaKila mmoja ni mfalme nyumbani mwake.
Yeah! Beba likes kona kwa kona[emoji106]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]I'm old souls!
Kweli tupu, wanawake (wengi wao ) wakiwa na ukwasi hugeuka vioja kwenye familia
Kweli?Mali ya mjomba si ya mpwa.
Asante sana
MchiriziMafurika hutengeneza mkirizi wake wenyewe.
Hahahaa itakua alitaka kusema hivyo[emoji124] [emoji124] [emoji124] au alitaka kusema mzee wa kuko...nini sijui??? Ukikumbuka malizia mwenyewe kimoyo moyo
Not sureMali ya mjomba si ya mpwa.
HaposaOgopa kundi la Mbuzi linaloongozwa na Simba kuliko kundi la Simba linaloongozwa na Mbuzi.
MmmhhhhhMbwa hushikwa mdomo na mwenyewe.
Gr8[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hujui kama kuna Samaki wakufugwa majumbani??!!View attachment 545732
Ocean not pool
Napenda kuisoma mara kwa mara, sijui kwanini!!!