Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moud golf,
Acha mambo ya kitoto ukipata like usipopata wala usiumie huwezi kumlazimisha mwanachama yeyote wa mtandao huu jf, akupatie like bila sababu ya msingi kila mwanachama anayo haki ya kufanya maamuzi na uchaguzi juu ya kutoa ( like ) na. ( qoutes ) kuwa mvumilivu na haya mambo hayana mantiki yeyote wala haikuongezei kitu.

Ishi kwa akili na kwa amani.
 
Back
Top Bottom