Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tribalism
Ni matani tu. Ilikuwa ni kawaida kwa makabila mbalimbali kutaniana. Sasa Wasukuma na Wanyakyusa (hasa wa kutoka Tukuyu) tunataniwa na kila mtu, na nadhani it's OK. Kuna mfano mzuri wa utani katika Riwaya ya Rosa Mistika japo utani huo ndo ulisababisha kifo cha Mzee Zakaria!
 
Back
Top Bottom