carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Alifananisha na ile wacheza mpira kukatazwa ku sex kabla ya mechiBad luck kwa kura atakazopata au watu watachoka washindwe kwenda kwenye vituo vya kupigia kura? I am struggling to get the logic behind this...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]