Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sawa mkuuTupia like basi
Wewe hiyo uliijuliwa??? Wewe mtoto ndio maana haunenepi...tchaaaa!!!Alifananisha na ile wacheza mpira kukatazwa ku sex kabla ya mechi
Hapa Leo nilienda kusoma kiingereza kwa Ras simba sasa nikawa sielewi kaniambia nivute ganja kidogo vitu vipande kichwani ndio nashangaa hapa nina flow kiingereza tu.Unajua matumizi ya bangi si mazuri kwa afya yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SwafiSawa mkuu
Mwambie andjul akubali ombi langu basi[emoji23][emoji23][emoji23]Nini
Pokea likela Kariakoo
Mshipi tena! Kha!
Hahaha tupo wengi,niliikuta kwenye uzi mmoja huku chit chat[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbe sipo pekeyangu
Mkuu ameshafika Sema ssHuyu mzee ana maneno mazito mno.
Halafu most explain about love.
Mkuu usizijali hizo, sio love za mapenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Mzee nakuchora ujue