Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
iyo txt ya emoji ndo nilitaka tafsiri yake[emoji5][emoji23] [emoji23]Mmh jaman
Jamaa kamuuliza baba yake alipatikanaje. Baba yake akajibu ni story ndefu,jama akasema aambiwe hata kwa kifup baba mtu kaweka stori kwa emoji
Mda badoSaa za kulala
Ungesema mapema opsss nimemaliza wino wangu bureiyo txt ya emoji ndo nilitaka tafsiri yake[emoji5][emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
21:529:44
AMUN RA
Like hii inakuhusu
21:5221:43
KuleeWapi
Hizi huduma silipi[emoji23][emoji23][emoji23]Kusambaza maji ya kwenye madumu,kubeba takataka kupeleka dampo,usafi wa mitaro,(hapo je?)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani hakuna hata tulipo kuwa tunapatia??? aliye utohola alituingiza chaka sana.Wazungu ndo walianza kuuimba sie tukauiba na kuweka maneno yetu(ila ka wimbo kwa kiswahili kamenoga zaidi)