Notifications ni shida jf...ila nimekuona kule leo nilipita kuchungulia mana nna alostoFresh tu kuna sehemu jana uliniita ndo nimepata notification leo
Acha tu kila nikichungulia hola!Ametuweza kwa kweliNotifications ni shida jf...ila nimekuona kule leo nilipita kuchungulia mana nna alosto
Gejo yupo?Mi mzima mkuu.
Kuna habari gani tena au kawaha uumegoma leo?
Carba ni mimi[emoji4][emoji4]hiyo nyingine ni ColeSielewi nani ni carba nani cole
Duuh Maisha yanaenda kasi Sana cousin [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Vp cousin!
Sisi tumekuwa Mwili Mmoja [emoji173]Sielewi nani ni carba nani cole