Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
22:34
Muda wa kulala huuAsante Sana mapenz mazuri eti
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Karibu kiongozi za tangia jana
Yap yapMwili mmoja damu moja
Na Amani muda woteKijiji cha upendo na utulivu
Ngoja nije nikubebe nikupeleke ukalale[emoji42][emoji42]
Naona kama unasinzia[emoji42][emoji42]
HahahahahaNimecheka hadi mbavu zimeniuma lakini sijasahau kusambaza upendo pokea like
Ila hii mpya nimempenda baba Winnie hataki kununua gari lina ajali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We si unamjua dereva wetu yule
Nyumbani pake hapaBURUDANI...
Likes likeslikes kwa likes
Hahahaha cuzo yeye macho kodo tuYaan nina Amani na Raha zote msalimie cuzo wako