Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ILA UWO UMBEYAAA ULIVO JAA HII YA MWSHO BWANA unaambiwa mama ungo maisha yalikuw Mazuri ata alinenepa yaani safari za njee nilikuwa hazikom.... ila mambo yalivo geuka mmewe maden kibao nyumba yao iko kivule matembele ya pili inataka kuuzwa ndio KWENDA KWA MGANGA MASIKiN YA mungu... ILA POLE USIONE AIBU WALA NN ILA MAISHA SAFARI NDEFU TOKEA KUPAA NA NDEGEE HADI KUPAAA NA UNGOOO ILA MAMA ANAPENDA WAITIII WAITIII UYUU AFU nasikia alikuwa ni mlokole mzuri sana.. ila jamani ukiwa unaamia kwenye dunia ingine ULIZA WENYEJI
 
JAMANI UMBEYA KAZI nna letew MASTORY NA MAPICHA YA MAMA UNGO UKO DM ROHOO YANGU INAMUONEA HURUMA naona nimsitiri ila umbeya wanguu unasema sito utendea haki ila MPAKA ID YA MMEWE ANAPOFANYIA KAZI SEMA UWEZ WEKA SURA YA MMEWE HAPA ASIJE ACHISHWA KAZI.. BURE WALA MTOTO WAKE UWEZ MPOST... NA UMBEYA WOOTE ITFAKI izingatiwe... ila inshort unaambiwa watoto wake mmoja mwanasheria mwngn mwalim mwngn muhasibu jana wamelia kama mbwa... hadi huruma LAKIN WEWE MAMA JAMAN KAMA ILIKUWA MARA YAKO YAKWANZA KWENDA KWA MGANGA ATA UNGEULIZA.. UMEONA WAPI MTU ANAPAA NA UNGO BILA USINGA.. maana ule usinga ndi usukani wenyewe na ndio breki sasa wewe umedanganywa panda kwenye ungo sema maneno aya paa... bila usukan kweli ukujiulza kona utakata vip au unazan uko angan hamna kona au hakuna kupishanaa lazima ungetutana na maderea wengn mpiashane.... khaa muwe mwaulza kupaa na ungoo bila usinga veeepe kona nilazima ili utue unapo taka wewe... maana unaweza kupitiliza kituo sasa unarudije nyuma bila kukunja kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…