GrimmI believe I can fly
Ikwiriri anahusika mchina ho chi minhMzee wa River leo kaonekana humu? Ikwiriri kuna nini? Kichwa lete habari!
23:1811:11
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE TAKE CONTROL FOREVER
Ukisha fanya hivyo miracles zina ondoka automatically!Sis, tufungue kanisa tupige hela? Hii ndiyo lugha ya manabii na mitume. Unaombewa na unakuta dola kibao zimeingia kwenye akaunti yako kimiujiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duhwaschana
mnatushinda tabia
facebook = cute girl bae
Instagram = cute nana
whatsapp = cutie lol
home = nyansatu[emoji16][emoji16]
school = nyangoko mwampololo
mungu anawaona[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimesema hivyo kwa sababu hata Masaki hajaonekana. Ametekwa ama?Ikwiriri anahusika mchina ho chi minh
Angekuja huku kibiti heri anaongeza nguvu kwenye kilimo changu cha matikiti tu.
23:202:00
AMUN RA
Ncha inachoma pia cleverHakuna marefu yasiyo na ncha.