Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
TrueWhere there's a will is always there's a way.
TrueWhere there's a will is always there's a way.
Ni hazina ya Kiswahili. BAKITA itabidi waangalie uwezekano wa kumtumia kuhifadhi methali na misemo hii!Misemo yako hainiachi salama
Upendo hahuchaguiShukrani kwa kusambaza upendo
MulendaNini hii
Na jiwe litabaki kuwa jiwe!Nazi itabaki kuwa nazi
Mtoto mvulana
Ndio Boss
OkMulenda
Mizuka imeanza kuisha sijui kwa nini. Hata wewe naamini siyo kama zamani wakati ule unapigania 100K...Ohh no!
Why?
Itabidi tuku jumpstart!
Juzi kakoswa moja kwenye kipara chakeho chi minh habari mzee wa ikwiriri, vipi hali ya amani ilivyo kwa sasa huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuuMwenye kinyongo hulamba nyongo yake mwenyewe mchana usiku
Ubarikiwe kwa positive mindsNi hazina ya Kiswahili. BAKITA itabidi waangalie uwezekano wa kumtumia kuhifadhi methali na misemo hii!
HadharaniMwovu hurembesha ulimi lakini matendo yake humuumbua
HahhaahaPokea mtama wa like
Hizi nahau na misemo yakoMacho ya vyura hayamzuii mteka maji kuteka.