Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

timbuktu_1.jpg
Nice shot
 
Nataka niunde kamati,nina mpango wa kukodi kundi la kukusuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka wakusuteeeee,yaani wakusuteeeee,usutwe saaanaaaa
Buguruni kwa bint madenge kuna mama mmoja ameanzisha kampuni ambayo inakodisha wanawake wa kusuta. kamuone huyo atakupa huduma hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Busara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
Well said
 
Back
Top Bottom