Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahahaha usiwaze mkuu...Ni kwenye new post tu huwa naangalia tu hapo basi, kama mada nimeipenda ndio huwa nacomment..ukiwa umesubscribe kwenye jukwaa upendalo, kila post mpya itokapo nawe unapata Alert kwa hiyo kama kucomment unacomment...hivyo tu mkuu hamna siri nyingine na usiwasikilize watu eti mimi ni modetator, hapana!!
Haa haaa ..
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom