Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Fresh man..Fighter namuona wizkid kwa mbali aje aje lakini?
Bila samahaniouh samahani sana nimechelewa, pakikucha nitakuja kushow love sana watu wangu wa nguvu msiwaze...
Haa haaa ..Ahahaha usiwaze mkuu...Ni kwenye new post tu huwa naangalia tu hapo basi, kama mada nimeipenda ndio huwa nacomment..ukiwa umesubscribe kwenye jukwaa upendalo, kila post mpya itokapo nawe unapata Alert kwa hiyo kama kucomment unacomment...hivyo tu mkuu hamna siri nyingine na usiwasikilize watu eti mimi ni modetator, hapana!!
Na kwako pia mkuuWadau nina deni lenu, mnanidai..nitawalipa..NIWATAKIENI USIKU MWEMA