Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ILA UWO UMBEYAAA ULIVO JAA HII YA MWSHO BWANA unaambiwa mama ungo maisha yalikuw Mazuri ata alinenepa yaani safari za njee nilikuwa hazikom.... ila mambo yalivo geuka mmewe maden kibao nyumba yao iko kivule matembele ya pili inataka kuuzwa ndio KWENDA KWA MGANGA MASIKiN YA mungu... ILA POLE USIONE AIBU WALA NN ILA MAISHA SAFARI NDEFU TOKEA KUPAA NA NDEGEE HADI KUPAAA NA UNGOOO ILA MAMA ANAPENDA WAITIII WAITIII UYUU AFU nasikia alikuwa ni mlokole mzuri sana.. ila jamani ukiwa unaamia kwenye dunia ingine ULIZA WENYEJI View attachment 546177
Waganga hawajawahi kumuacha mtu salama.. Aibu sana
 
Back
Top Bottom