Yaan kuna watu tangu juzi wanakesha nao. HawalaliWatu wameamua kuamaka, kushinda na kulala kwenye huu uzi
Nawewe furahia sahau mastress yoteMbona ni furaha saaana humu ndani.
Hadu nukta watu wanapiga like
Huduma ipi mkuu? We ni ke au me,tuanzie hapoNimewahudumia naomba mnihudumiw
Hv zinakuja lini aiseee hahahhNoah noah jamani daaa aisee unalala huna pesa unaamka na noah tanzania nakupenda sana
Nchi tamu sana alieimba bongo bahati mbaya tushampa visa aende zake na kontena moja la makinikia akauze apate pesa ya kuishi canadaNchi ya mindege na makinikia
Yaan ww ukichoka unajikata tu,humu kuna wenzio tangu juzi wanakesha nao.Punguzeni speed wajameni wengine hatuna pumzi....
Maana hii speed ya huu uzi inazidi ya hapa kazi tu
4gMnatisha kwa speed hii
Mkuu hiyo nafsi ina mtu. Kwa uzee wangu mniachie ni enjoy-ike nayoJamani 5000 Kwan post ya 20,000