Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Mnyika
Osha,tuendelee.Yaani hapa simu yangu inaingiza notifications za like na quotes kama uchafu....
Power bank ni ya muhimu sana sehemu kama hizi.Kwa kweli
Kwa kuwa ni mwema kwetu.Na tuendelee kumshukuru na kumuabudu
Mpk simu izime.Osha,tuendelee.
Jambo jemaSitachoka kuwakumbusha.....ukitaka likes rudi nyuma kwenye post za nyuma toa milikes mingiii alafu njoo mbele comment ....