Goddess ISIS tangu asbh sijakuona wacha nikulikeSASA nimekuja kutoa likes! Kaeni mkao wa kula likes!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimelike huko nyuma kote naomba mnilike na mimi huku mbele
Tunahitaji mambo mnne.Ili tuendelee
Hii ni komesha mkuu, Makapuku hawanusu hapa.Chukueni rekod cku huu uzi umeanzishwa, makapuku walikuwa na replies ngap?
Ili baada ya mwaka na mwez mmoja tuone hapa kutakuwa na replies ngapi, coz leo hadi sasa makapuku wana mwaka na miez mi2
Sana yaan,mtu asipocheka hapa basi atakuwa mgonjwa.Nnafurahishwa saaaana na kasi ya hii thread, nnafurahishwa mno jamani.
Hakikisha huchukui makinikia hata kidogo.Naenda nje ya nchi
Na tuendelee kumshukuru na kumuabuduMungu atupe pumzi