Mwalubadah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 222
- 271
Huu uzi n Kama dozi vile...
3×1..
Meza.. Umezwe.
3×1..
Meza.. Umezwe.
Kula hiyo ukhty mdadaNipen like
Jamani mremboooNtakukaushia kama vile sio mie
Nawe piaKula hiyo ukhty mdada
Tupo mkuu tumejenga humu humu wengineWaumini wa huu uzi sijui wameenda wapi
HahahahaHuu uzi n Kama dozi vile...
3×1..
Meza.. Umezwe.
Hahahah watu wana hasira jamani.Ukirudi home utakuta likes zako tumekuwekea
Umeiona? Ukijibu nakutwanga nyingine fastaMbona sijaona like yako?
Hahahahh dah jibu murua kbs.Siri yake unaruhusiwa kuwa na zaidi ya mmoja, kaaazi ni kwako tu
Wanafanyaje tena?Haswa wahindi ndani ya magate yao dadeki walahi
Watu wamepinda aiseeUshindwe. Akifuta tutaenda wapi? Jukwa la siasa? Unalijua unalisikia!!