Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kuna huyu jamaa naona leo ameamua kukesha kabsa
Full burudani tuHakuna uzi bombaa kama huu
Tuheshimiane mkuuUlivoongea kama nakuona utakua mrembooo
Uzi ni wamwendo kasi.Punguzeni speed wajameni wengine hatuna pumzi....
Maana hii speed ya huu uzi inazidi ya hapa kazi tu
Pumzika mkuuLakini leo aisee....
Sio leo tu, tangu juziKuna huyu jamaa naona leo ameamua kukesha kabsa
Basi tuseme hallelujah.Tunakupenda pia.
Mtu mbaya sanaMO Dewji
Zitakuja nyingi hadi............Hebu wadondoshe na hapa bhasi😉😉😉