gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
Isis na kichwa kichafu sijawah wakosa humu
NakusikiaaaNaongea hivi unanisikia[emoji445] [emoji445] [emoji445]
Naona umemuachia matekaKatokea
Haya
Ni kweliIna ujumbe mkubwa sana wq siri
Umaarufu wake umetokana na artist mwenyewe au the painting??Ina ujumbe mkubwa sana wq siri
Hiyo inamaanisha kua hata wewe hujawahi kukosa humu!Isis na kichwa kichafu sijawah wakosa humu
ISIS huwa yupo mikono salamaKichwa kichafu kama sipo naomba usimsumbue my Queen
BothUmaarufu wake umetokana na artist mwenyewe au the painting??
Ni kweli ila wamenizidi aiseeHiyo inamaanisha kua hata wewe hujawahi kukosa humu!
That's what we do.Likes kwa likes
Hahhahaahha nani huyocole umeamua kuiba picha ya cab kabisa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Ahahahaha! kazana uwapite mkuu.Ni kweli ila wamenizidi aisee
Naingiaga kuchungulia tu,ila lazima niwakute hawa wazitoBoth
Post bila likes sawa na ugali bila mbogaLikes kwa likes
Nimewavulia kofia hawa watu mkuuAhahahaha! kazana uwapite mkuu.
Wana spidi ya light hawa huwawezi.Nimewavulia kofia hawa watu mkuu