Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahahahah CleverKINGHiyo inamaanisha kua hata wewe hujawahi kukosa humu!
YupUsiku tena???
Yani sometimes nahisi labda ni marobotiWana spidi ya light hawa huwawezi.
Lazima viendane pamoja kama mate na ulimi.Post bila likes sawa na ugali bila mboga
Artist wake ndio ameipa umaarufu hii pichaUmaarufu wake umetokana na artist mwenyewe au the painting??
I got you!Ina ujumbe mkubwa sana wq siri
MonalisaArtist wake ndio ameipa umaarufu hii picha
Hello mbona inakatakataNakusikiaaa
Hapo sawa,maana picha ni maarufu sana..na inalindwa sanaArtist wake ndio ameipa umaarufu hii picha
Wamewekeza humu wenzio 😀😀Naingiaga kuchungulia tu,ila lazima niwakute hawa wazito
Weka price tag mkuu.
Zaburi 54