mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Unapotea sanaJambo kabisa... habari ya wewe mzee wa ini
Unapotea sanaJambo kabisa... habari ya wewe mzee wa ini
Cole wa CarbDon't
Ever
Stop
Kama ilivyo ada mi mzima wa afya tele.Nambie shem darling...mzima wewe
Shemeji naomba niitie andjul mwambie nina maongezi naeNgoma isambae
Niambie kamanda wanguKqmanda
Moyo wq chuma kutu tu ndio inaniogopesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntakuja kukiiba ila usije lalamika tu humu
Nakusikiza shemejiKama ilivyo ada mi mzima wa afya tele.
Kuna kitu nataka tuponge kwa kweli.
Sogea pale kwenye mwembeNapanda juu ya mti wa miba hapa.
Nasikia ulipotea baada ya kumbato la ISISNiambie kamanda wangu