Na kweli ni kuheshimiana na upendoHaaaa haaaa haaaa haiwezi kuwa hivyo mkuu humu watu wanaheshimiana sana
Tukana ila soma lengo la uzi halafu pokea like yangu. Najua utajirekebisha humu ni wastaarabu
Hamna namnaMmmhh mbona unantisha sasa
12:2712:03
No WAYUzi ufungwe rasmi sasa!
upumzi mtupu! kwani like zina faida gani? huu uzi unawafaa akina jingalao, mjingamimi, Kubwajinga, na Kichwa Kichafu
Jembekillo ni mganga wa kienyeji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kweli ni kuheshimiana na upendo
Indeed walahiJembekillo ni mganga wa kienyeji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona mnakwepa majibuOkay
kupata like bila kutoa wazo la maana,ni sawa na kupata hela bila kufanya kazi
Kweri huu ni ukosaji wa kazi.....vijana wekeni smatphone chini mfanye kazi.