mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aliko Dangote
DuhMwanamke tajiri Afrika
Failure
Success
Kabisa ana busara nyingi sana
Aisee Jf kuna vituko
Kuna hadi wabunge na mawaziri wapo kwenye hii thread wanatoa like hadi boss wa ACACIA naskia kagoma kurudi Canada kanogewa na na jf yupo kwenye hii thread anagawa like....
IsaIsabella dos Santos
Muwe mnasoma na mnavyo LIKE, utalike kumbe jamaa anasema anataka akupumulie kisogoni.
Mi namuuliza tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeuwii
Kichwa kichafu
Haaaa haaaa haaaa haiwezi kuwa hivyo mkuu humu watu wanaheshimiana sana
OkayMi namuuliza tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaHahahaha aisee wewe kweli ni Kichwa kichafu
Tukana ila soma lengo la uzi halafu pokea like yangu. Najua utajirekebisha humu ni wastaarabu
12:2612:12
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE TAKE CONTROL FOREVER
SEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
The good shall prevail but evilness will perish forever
The end of old circle and the beginning of new circle