Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Alafu Unakuta Baba yangu nayeye yumo humu anacheza michezo Ya kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Atie Likes nimtie likes Ubaba mwisho Nyumbani jf kila mtu mkuu
Unaonekana unakipaji cha kubuni ujinga!
Ila siku ukabuni ujinga kama huu then uka convert it to cash money utakuwa bonge LA billionaire kama yule Wa Facebook!
Dunian binadamu wanapenda vitu laini visivyo umiza kichwa, Fanya hivyo mkuu utajirike nimeona kpaji unacho!
Nina uhakika huu uzi utashona mpaka magunia.
Lazima kweny uzi huu,kutakuwepo na marais mbalimbali wanapokea likes nao..mana wengne,wananch wao hawawakubali so wanajichangany humu marais w manzese,tff hahah na wengne.
Nzuri
Like zingekuwa pesa kesho ningenunua Dar
Uzuri wake,hatuvunji sheria za jf...akijikwaa mwenzio tafadhali muokote.hah
Ni moto moto Tupia like uokote likeZa hapa
Naipenda JF