Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Huko ulipo endelea kumwaga likes, hata hivyo niambie ukurasa ulipo nione hiyo comment ambayo ume quotNiko nyuma nafukua makaburi nacheka sana
Tumechizika na uzi wetu kiasi hatuna kingine tunachofanyaKabisa mkuu mi ndo sijaenda popote since jana
Salama mkuu
Liberty is the freedom of living as you wish without breaking laws.
Tumetoka mbali sana, lakini huwezi kuamini tumetembea kwa speed kubwa sana mpaka kufika tulipofikaDuh! Kweli tumetoka mbali!