Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ya light and thunderTumetoka mbali sana, lakini huwezi kuamini tumetembea kwa speed kubwa sana mpaka kufika tulipofika
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMtoa mada uzi alienda kwa mganga kuomba dawa ya biashara sasa akaambiwa nenda jamii forum kaanzishe uzi wa kijinga jinga tu halaf utaona watakvyochangia na kwel bhanaaa duh watu wanatiririka tu,,haya nipen like zangu
Hahahaha hunijui ndugu yangu, wewe tule like za bure tu
Donnie Yen