Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji617]Kushindwa mara nyingi kuna manufaa kwa yule ambaye anataka kujua kwanini ameshindwa na anatakiwa kufanya nini ili kosa lisijirudie na aendeleze alichoshindwa mara ya kwanza na sio kukata tamaa kujifunza kwenye makosa yake.

[emoji617]Sio kila anayeshindwa mara nyingi atafanikiwa au wingi wa kufeli sio ongezeko la nafasi za kufanikiwa. Inategemeana na unashindwa mambo gani na sehemu gani.Unaposikia mtu kama Thomas Edson, Abraham Lincolin walishindwa mara nyingi katika maeneo ambayo waliyapenda ndio maana hawakukata tamaa na waliweza kufanikiwa. Je wewe unashindwa sehemu gani?.


[emoji617]Kujirudishia kisasi ni kuwa na hasira na yule ambaye hana hasira na wewe. Kuwa tuu na hasira tayari madhara ambayo ulikuwa unataka ayapate mtu flani umeanza kuyapata wewe mwenyewe tena wewe ni zaidi ya yule ambaye hajui wewe unahasira.

[emoji617]Wewe kuweza kufanya kitu flani kwaajili ya watu unaweza kuwa unaonesha uwezo wako lakini kuumia na kuteseka kwaajili ya wengine huo ni UPENDO.



Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
16583104_478071875882936_8237335253220327424_n.jpg
 
We never know why we like someone more than others; why we love someone without reasons and why we feel Happy with their presence, 'coz... some meaningful relationships have no explanation. We are actually being re-directed to something better. Have a Happy Day ahead!

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Back
Top Bottom