ajabu hii ni tanzania peke yake kwa kweli watu wana show love everywhere... thank god sasa wewe bak na BBM...Ni kweli aisee
Hahahahaha speed yetu balaaaa10 G while makapuku 3G
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lazima wakae,!! wengine lazima waje huku kuongeza uzito[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utamu wa embe linyonye[emoji15] [emoji15]
Like you back.Hahahaha well said chukua like
Hii ya kwangu [emoji12] [emoji12]Ile ya 50 cent [emoji124] [emoji124]
yupo bandarini ahaaaMakinikiaaaa wapi
Hata Makapuku tunawa like pia.10 G while makapuku 3G
Like u2Like you back.
Poleeeee baade urudi tukupe likes zakoHii wikiend umenikalia kushoto asee.
Baadae wakuu
Chukua like toa likesHahaha
coco ushaanza mambo yako ya lumumba we kula likes ukitaka hayo mambo pita majukwaa mengine hapa watu tumepona stress za makinikia ..Bado nasema watanzania wengi wanaroho mbaya ya wivu, mnashindwaje kumpa mleta mada likes jamani hata kufika nusu ya posts...duh!