niliwahi jiuliza kwanini sijawah tia likes wala comments makapuku kwel ni makapuku forum..Makapuku kazi mnayooo
Hiyo nimekupa[emoji23] [emoji23]Rudi wewe umesahau kunipa like yangu.
Mwenye Enzi Mungu atuwezeshe milelePamba,kahawa,katani na makinikia.
OkMsijesahau kujifunza driving
SENTIShilingi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaa kaamua kuvichezea vitenesi vyako ndani ya pichuTuheshimiane mkuu
ahaa raha jipe mwenywe.. maisha yenyew mafupi yaliyogubikwa na kila aina ya dhorubaExactly
Kabisa pacha, hapa ni sehemu sahihi ya kupumzika kwa kugonga likessHuku pacha wote wazima wa afya.
Bado tupo na uzi wetu wa likes ila uko bomba sana huu uzi.