mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,608
Daahhhh Likes hiziiii
Daahhhh Likes hiziiii
Hawajambo pacha sijui wenzao huko?Nzuri pacha. Hawajambo huko kwetu?
Na akifa azikwe huko huko.Nchi tamu sana alieimba bongo bahati mbaya tushampa visa aende zake na kontena moja la makinikia akauze apate pesa ya kuishi canada
Halafu kuna uzi wa mangi wote wa humu jf unakuhusu sana Mbiirwa tukutane kule....Huu uzi unakwenda kuangusha Makapuku forum
Rudi wewe umesahau kunipa like yangu.[emoji125] [emoji125]
Tushamwambia aende Canada akishindwa basi Trump atampokea akaishi white house atuachie noah zetu sieNa akifa azikwe huko huko.
Ufiche kabatini.Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyooooooo
Hahahahahah nimefichaaaaa kabisaaaUfiche kabatini.
Ukiliwa na panya je?Ufiche kabatini.
Usijaribu,fanya nitalike si nipo?Nashindwa kujaribu roho inaumaaaaaa
Safi sana hongera sasa subiri huku mbele nawewe watakutia nyingi.....keep it upSikuwepo ila nimefuata ushauri wako. Woote mliokuwa mnanidai like huko nyuma nimewatia. Naendelea kutia mbele comments ambazo nilikuwa bado