Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Huku pacha wote wazima wa afya.Hawajambo pacha sijui wenzao huko?
Bado tupo na uzi wetu wa likes ila uko bomba sana huu uzi.
Huku pacha wote wazima wa afya.Hawajambo pacha sijui wenzao huko?
Na hajawahi kutuachaKwa kuwa ni mwema kwetu.
Joseph Kony.Mbabe wa vita
Tena washindwe kbs.Makapuku forum wamekaa kikao cha siri kupata mstakabadhi wa hii thread...
Itoe iweke pembeni usisikie maumivu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nashindwa kujaribu roho inaumaaaaaa
Chukua likethanx a lot madam isis..
Fesibuku.
Duh!Itoe iweke pembeni usisikie maumivu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli haupangiwiToyota Bombardier