Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-20-21-07-04.png
 
Loooo

Yani nyie mme like kabisa li aliyoandika huyu mdau aliyetokea hell na kuja na ID mpya... kama mwanaume kweli angeandika haya na ID yake ya kila siku. Eeeeeh hajitambui kweli kweli ni bomu bomu
Huyo jamaa sitakaa nilike chochote kutoka kwake, hana heshima hata kidogo, anatoa shitty tu aisee hajielewi...kazi yake ni kutukana na kukashifu watu..halafu ndio kajiunga jana sijui juzi..ana utoto mwingi sana.nimemchoka kwa kweli..kitu cha maana anachopost hamna...Yaani hovyo kweli..Bora hata alivyopigwa BAN
 
Nani huyo mkuu? Joseverest
 
Yaani bora kapigwa ban kwa kweli... cheers
 
pamoja mwenyeji wangu emu niwekee ile episode aka sirizi MOJA Kali la purizoni bureki, alafu naomba juisi ya embe wakati nasubiri huo wali unaonukia. naomba na chaja ya Samsungi s six eji. alafu kama una kabinti kaite kanimasaji miguu. asante Ruta bepari

Season 1 episode 1 prison break
 
Back
Top Bottom