carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Habari ya afya yako uniqCarbaaaaaaaa
Habari ya afya yako uniqCarbaaaaaaaa
NipoMkuu upo??
AsanteNzuri carba...karibu
Bwihi [emoji16] [emoji16]Uzima tele mzee wa kugundua
Hapo kwenye kweli [emoji57] [emoji57]Nimegundua
Wanaume wote
Humu ni wanaume
Halisi na wa kweli
Afya yangu ipo poa kabisa nina mshukuru Mungu kwa hilo.Habari ya afya yako uniq
Shukrani mkuu,naona unezama kabisa kwa huyo wa dpNipo
Mkuu karibu
Sasa nikirudisha ile si mtamwita cole carba?[emoji23][emoji23][emoji23]Una badili picha sana unanichanginyiiii
Endelea kukita kambi hapaSalama
Bora maana yeye kuwa Cole wewe ndie unajua zaidiSasa nikirudisha ile si mtamwita cole carba?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha wakutane na moto wa Cole kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Rudisha picha yako ya mwanzo. Watu wataanza kutupia neno kwa Cole wakijua ni wewe.