Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tayar kishanuka huko,yaan team wema ndo wa kwanza kuzisambaza na kulalamika

Ha ha haaaa... ila walitaka kuona wanabebana au wamekumbatiana!! Bado wanaumia na kutamani. Wangejua ni pesa wanawaongezea wangesha achana nao. Hata Wema hawampi promo kihivi.. niliambiwa na watu wa kwenye system kuwa ni kwishney. Labda ajivute tena
 
Sasa utafute hela mdogo wangu,hawa mabinti wazuri hawa faraja yao ni hela,hawatakiwi wapate shida,kitunze kidumu,achana na maneno ya kulembua....helaaa,mpe carba hela,sio za masimangoooo!!? Ohooooo, ataenda huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (nimezeka lakini kutumia najua,ukimshindwa niambie).Ukiibadilisha picha nitajua umeachwa kisa hauna hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli leo umerudi kivingine[emoji23][emoji23][emoji23]utamfanya asibadili kuogopa maneno yako ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena mwambie anipe hela nyingi[emoji6][emoji6]
 
Sasa utafute hela mdogo wangu,hawa mabinti wazuri hawa faraja yao ni hela,hawatakiwi wapate shida,kitunze kidumu,achana na maneno ya kulembua....helaaa,mpe carba hela,sio za masimangoooo!!? Ohooooo, ataenda huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (nimezeka lakini kutumia najua,ukimshindwa niambie).Ukiibadilisha picha nitajua umeachwa kisa hauna hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] lakini we Mzee ww
 
Yaan wema kaishiwa kabisaa. Team yake wanampa promo sana zari kuliko yeye hadi application imedoda. Filamu anazotoa hazijapata mauzo ya kutisha. Hadi huruma

Back
Top Bottom